Lugha ya Dunia hiyo usipumbaze watu hapa, sasa hao wanatoka West na Ruto East kama sio hiyo lugha wangewasiliana vipi? Norwegian walikuwa wakimsema waziri mkuu wao haongei English nzuri imekaaje hiyo? Na hawajatawaliwa na waingereza. Hao wachina wanapambana wajue English.Haa haa haa, here is where the colonialists abducted the continent, Seeing and judging others in the way they speak English
Lugha ya Dunia hiyo usipumbaze watu hapa, sasa hao wanatoka West na Ruto East kama sio hiyo lugha wangewasiliana vipi? Norwegian walikuwa wakimsema waziri mkuu wao haongei English nzuri imekaaje hiyo? Na hawajatawaliwa na waingereza. Hao wachina wanapambana wajue English.