President William Ruto: Nimevunja genge la Polisi lililokuwa linatekeleza utekaji

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Rais wa Kenya, William Ruto, April 1 2025 alitoa msimamo mkali dhidi ya wimbi la utekaji nyara kwani alichukua hatua za awali za kusafisha idara ya usalama kwa kuvunja makundi maalum ndani ya jeshi la polisi yaliyokuwa yakihusishwa na matukio ya utekaji na mauaji ya kiholela.

"Nimevunja ile genge ya polisi ambayo ilikuwa inatekeleza mambo hayo. Najua ya kwamba kumetokea tetesi za watu waliotekwa nyara.

Na nimewaeleza kinagaubaga msimamo wangu kama Rais, na wa serikali ya Kenya. Na polisi wanaelewa ya kwamba msimamo wangu, msimamo wa serikali ya Kenya, sera (policy position) ya serikali ya Kenya ni kwamba mambo ya utekaji nyara hayataruhusiwa katika serikali hii. Na wale wanahusika na huo utekaji nyara, the police must take responsibility and make sure they deal with those either in their ranks or the people who are involved in matters abduction
."

Your browser is not able to display this video.
 
Just ku aknowledge kua tatizo lipo na maafisa wa Serikali wanahusishwa, inaonesha kweli wewe ni kiongozi.
 
Huku kwetu Burundi Abdul anajitekea tu wananchi kiholela na kuwapoteza kusikojulikana.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…