President Yoweri Museveni condemned coup d’état in Guinea

President Yoweri Museveni condemned coup d’état in Guinea

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
8 September 2021
Entebbe, Uganda

Exclusive: Uganda's Museveni says Guinea coup leaders 'should get out'

Mh. Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda avungumzia mapinduzi ya Guinea Conakry pia masuala geopolitics na nafasi ya Uganda kushawishi katika masuala ya Wakimbizi wa Afghanistan nchini Uganda, vita vya Mashariki ya DR Congo vilivyopelekea ugaidi kaskazini ya Mozambique, vita vya Somalia na huko Mozambique. Uhusiano wa Uganda na Rwanda. Bobby Wine ni kibaraka wa mabeberu na ndiyo maana harakati zake za kuchukua nchi kupitia demokrasia na uchaguzi kufeli. Je rais Museveni anataka kuwa rais wa maisha wa Uganda au atamrishisha mwanae urais wa Uganda.
In an exclusive interview with FRANCE 24, Ugandan President Yoweri Museveni condemned this week's coup d’état in Guinea, describing it as "a step backwards". The Ugandan president said the coup leaders should face sanctions and "get out". Museveni also discussed several other security topics concerning Africa, as well as the Afghan crisis.
Source : France 24 English
 
08 September 2021
Conakry Guinea

Baraza la Utawala la Kijeshi Guinea, laamuru wafungwa wa kisiasa waachiwe mara moja



Baraza la kijeshi linalotawala baada ya kumgoa rais Alpha Condè wametoa amri ya wafungwa wa kisiasa waachiwe huru kutoka gerezani. Leo zaidi ya wafungwa 20 toka gereza kuu la mjini Conakry Guinea wameanza kuonja uhuru wao walipoachiwa na kulakiwa kwa shangwe na ndugu pamoja na jamaa zao.
 
Mpk waje wamtoe akiwa madarakani ndo ataelewa somo.
 
Mu7 asiwafundishe watu kuishi kwenye nchi zao
Mseveni mwenyewe aliingia madarakani kwa mapinduzi leo anasema ni makosa kufanya hivyo. Wasiwasi alio nao ni kuwa yeye ndiye anayefuata katika hiyo orodha. Amejaribu kumpandisha vyeo harakaharaka mtoto wake jesheni ila hata huyo kijana wake akiwa mkuu wa majeshi bado mapinduzi yanaweza kutokea.
 
Anaogopa eee?
Muosha huoshwa asubiri na yeye zamu yake itimbe wamtindue pale jumba jeupe Entebbe!
 
Back
Top Bottom