Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Ujerumani wapo vizuri sana wale jamaaMerkel kabadili katiba lini? Mpaka mrithi wake kashapendekezwa atakapobwaga majanga mwaka huu.
Wewe dada una IDs ngapi humu JF?Huyo jamaa ni BAVICHA achana naye
Heheheheee hao wenye mchezo kama huo mbona wapo wengi sana humu mkuuWewe dada una IDs ngapi humu JF?
Hawakufika pale hivi hivi bali walipambana sanaUjerumani wapo vizuri sana wale jamaa
Tena saaaana bila kukata tamaaHawakufika pale hivi hivi bali walipambana sana
Kuna na IDs nyingi ni utoto huo mkuuHeheheheee hao wenye mchezo kama huo mbona wapo wengi sana humu mkuu
Hahahaaaaa huyo dada ni muhuni tu mkuuWewe dada una IDs ngapi humu JF?
Warusi ni zaidi ya wajerumaniUjerumani wapo vizuri sana wale jamaa
AmenHakika kila nafsi lazima itaonja mauti
DuhMerkel kabadili katiba lini? Mpaka mrithi wake kashapendekezwa atakapobwaga majanga mwaka huu.
Unaguna nini sasa?
Hiyo ramli naona imekuwaUnaguna nini sasa?
Acha uchocheziHiyo ramli naona imekuwa