Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Labda akatumie anga la msumbijiSi ana ile helkopta yake afanyie hata angani na waandishi wawili watatu.
Huyu anayeongea saa hizi ni mjomba ako?
Alitegemea uwaziri wa kitu gani? Kuchunga ng'ombe?Gwajima si akaongelee kanisani kwake? Huyu tangu alivyokosa uwaziri akili yake imegoma kureset
Ubuyu kila kona
Ukiongozwa na yule jamaa aliyepigwa vichambwa juzUpumbavu wa CCM waliojenga kwenye hii nchi wa kuzuia uhuru wa kujieleza, machungu yake yanawarudia wao.
πππUkiongozwa na yule jamaa aliyepigwa vichambwa juzi
Huyu jamaa siana kesi yakujibu kwenye kamati ya maadili? au anafikiri itampunguzia tuhuma zinazo mkabili.Basi Aitishe Kanisani kwake.