Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

ikishindikana,warekodi video clips na wazipandishe youtube!tosha kabisa hapo!frm there zitaenea tz nzima!
 
hatuna muda wa kuwasikiliza tunafanya kazi...
 
Kwa kweli inauma sana
 
Wadau, mimi naomba tu kuuliza, kwani huu mkutano wa chadema na waandishi wa habari ungeongeza value gani kwa kurushwa mubashara au utapunguza thamani kiasi gani kwa kurekodiwa?? Kwangu mimi contents is what counts no matter how and when it's given out and received. Kwa kuwa kutonyeshwa live hakutapunguza hoja mujarabu walizopanga kuliambia taifa basi warekodi na bado walengwa ujumbe utawafikia. Hata mh. JK mara kadhaa alizungumza na taifa kupitia recorded speeches na bado watu walimsikiliza. Ukinyimwa viatu, vaa hata kandambili
 
Kwa kweli ngachoka. Hata press inakuwa shida. Mwishowe watakimbia hata kivuli chao. Ila yana mwisho haya. Hakuna usawa.
 

Kurusha live ni aghali. Hawa ni wafanya biashara wamepiga mahesabu wakaona the even is nit newsworthy. Watasikiliza vilaza wa UDOM na mabodaboda - wote hawana purchasing power - mada kuu kumtukanaDr Tulia. Uchaguzi wa JPM ulisikilizwa na kila mtu, hata Kikao cha Chadema Kamati Kuu kikasitishwa. Hapo ndiyo unaonyesha live kwa vile italipa vizuri. Sorry! WM
 
Nahisi uafisa habari mngempa hata Salum mwalim maana ana uzoefu wa habar anao hivi social media zote hzi na application site zote za akina YouTube mnashindwa kutumia kwann cdm hawako active Leo hamjui hata effect za social media kuleta were ness hamjui hata Arab spring imeanza wapk hebu wapeni kazi ya kusambaza habari watu wanaoenda sambamba na wakati.
 
Kwa kweli ngachoka. Hata press inakuwa shida. Mwishowe watakimbia hata kivuli chao. Ila yana mwisho haya. Hakuna usawa.
Press Conference tu wanakimbia hahahahahaa CCM bhana
 
Kwanza nani akaye saa tano kuwaangalia Chadema? Ndiyo maana wanapata kura mijini tu hawa.vijijini watu bado wako mashambani na hata mijini saa tanoni mda mzuri sana wa kazi maofisini.
 
Salum Mwalimu ni Muislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…