Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

Basi wampe hata mange kimambi (kiddin) unajua saa nyingine mi nawaona cdm kama hawana plan B sababu naamini sio kila kitu kulalamika kuonewa they must have alternative au hata contingency plan kwa kila walifanyalo hasa ktk dunia hii ya globalization

Salum Mwalimu ni Muislamu.
 
Salum Mwalimu ni Muislamu.
Hapa ndio unaleta mambo ya kipuuzi kabisa kabisa, hivi CCM hakuna Wakristo? Hivi ni dhambi kuwa Mwislamu? Acha ushenzi wako hapa wa kutaja taja dini za watu wengine kwenye uouuzi wako huu
 
Kwani wameshindwa kuweka hiyo hotuba yao ktk website? Kipindi kile nakumbuka c walituambia huwa wanatuwekea mtandaoni? Shida ik wapi.....haya zungusha mikono zungushaaa
 
Ni lazima chama cha siasa,vilabu vya mipira kuwekeza kwa nguvu ktk habar au public relation yao maana la sivyo watakuja kwama kunahitajika investment kubwa angalia Jk alivoona kwenye chama mambo yamuendea mrama baada ya operation vua gamba akaekeza kwenye IT na media kwanguvu ndio CCm hii iliokuwa yashambuliwa hapa Jf vibaya mno lakini leo CCm imekuwa na watetez hivi Leo Jamaa wana live streaming kwenye mikutano yao na mengine mengi. Na mnaona wenyewe sasa hvi Ikulu manguli wote wa fitna za habar walichukuliwa na Jk kama blogger michuzi na JPM kazidi kuchukua wengine ndio maana kila ukilala ukiamka ni JPM atafnya nn na kafanya nn
 
jaman hawa wazee wa matamko tuwapuuze kwani matamko yao hayajengi zaidi ya kubomoa
 
Kwani wameshindwa kuweka hiyo hotuba yao ktk website? Kipindi kile nakumbuka c walituambia huwa wanatuwekea mtandaoni? Shida ik wapi.....haya zungusha mikono zungushaaa

Unajua gharama za kuandaa press conference? wakiweka kwenye website watu watashindwa kupiga mpunga. Mchaga hua hafanyi kazi ya bure hata siku moja
 
Hivi kwanini chadema wasianzishe kituo chao cha radio na TV ili wakitaka kutoa matamko kusiwe na sababu za kiufundi?
 

Kwani azam na ITV NI vyombo vya SERIKALI
 
Hapa unamaanisha akili na busara ziko ccm inayorusha live matusi kejeri na vijembe kwa wapinzani sio?!
 
Jifunze mwandiko kwanza mkuu!
 
Habari za uhakika, pesa zilikuwa zitoke kwa ma-mvi, familia imegoma zisitoke.
QUOTE="TataMadiba, post: 16989129, member: 206398"]Safi sana , sasa naanza kuona maana ya dola na chama tawala.[/QUOTE]
Lumumba ni misukule,haijui hata nin inaandika!Haya ona unavyojichanganya mwenyewe,which is which?Kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…