KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Rais anapendezwa nayeNawasalimu sana Wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa LAKINI UKICHUNGUZA KWA UNDANI ZAIDI, Yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa Watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury. Na, Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo?. Tumsaidie RAIS.
Hilo lilikuwa na shinikizo toka kwa mama, baada ya kikao chao cha "cabinet"Nawasalimu sana Wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa LAKINI UKICHUNGUZA KWA UNDANI ZAIDI, Yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa Watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury. Na, Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo?. Tumsaidie RAIS.
Baraka zake??Hao ni wateule wake.
Wana baraka zake.
Mwigulu na mikakati ni kama Maji na mafuta.Nawasalimu sana wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury.
Na Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo? Tumsaidie Rais.
Huyu Waziri ni janga la Taifa! Kwani hizo miundo mbinu na ujenzi huko zimeanza Leo. Zilikuwepo wakati awamu ya 4 na 5 sana lakini hatukusikia kutozwa Kwa akili ya matundu ya choo na zahanati.Nawasalimu sana wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury.
Na Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo? Tumsaidie Rais.
Sasa kama Waziri anawambia wananchi waende Burundi na Rais anakaa kimya.Hilo lilikuwa na shinikizo toka kwa mama, baada ya kikao chao cha "cabinet"
Ambapo alitoa agizo kwa Madele, kuwa ni lazima ajitokeze mbele ya Umma wa watanzania na awafafanulie kwa kina, badala ya kejeli yake kuwa asiyetaka tozo hizo, aende Burundi!🥺
Nawasalimu sana wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury.
Na Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo? Tumsaidie Rais.
Hayo 60 yakifika.Samahani nauliza tu; nasikia Waziri wa fedha ametoa mabasi ya usafiri kwa wale ambao wapo tayari kwenda Burundi.Tupeane connection jamani!
CHADEMA nao watuwekee John Mnyika kwenye nafasi ya mgombea urais tumvue pichu huyu zombie asiyejiweza!Baraka zake??
Si wamejionea uchaguzi huru toka kwa majirani zetu, ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa Karibu Sana na mamilioni ya watanzania?
Mwaka 2025 siyo mbali.
Na kwa kiburi cha Hawa maccm, wanaodhani kuwa ukiwa mgombea wa CCM, automatically umeshinda, hizo enzi zimepitwa na wakati,
Una shida ya akili?.CHADEMA nao watuwekee John Mnyika kwenye nafasi ya mgombea urais tumvue pichu huyu zombie asiyejiweza!
Wala!Una shida ya akili?.
Au msongo wa mawazo kutokana na umaskini unaosababishwa na Mwigulu.
Uchaguzi huru Haiwezekani hapa kwetu kwasabb sisi tuna "Tume Mtu" hatuna "Tume Huru"Si wamejionea uchaguzi huru toka kwa majirani zetu, ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa Karibu Sana na mamilioni ya watanzania?
🤣🤣🤣🤣 amesema yeye hamiliki ata Bajaj!Hayo 60 yakifika.