CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake..
Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri..
Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri..
Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari...
Na hata hapo pia ilibidi "bastola" itolewe kuzuia..
Kutokana na yanayoendelea Sidhani kama Gwaji boy ataruhusiwa kuongea chochote chenye ukakasi..
Kama press hii itakuwepo basi
"Wenyewe" wamejiridhisha kuwa haina madhara...
Lakini vinginevyo naona press hii "ikiahirishwa" au kuzuiwa...
Na Gwaji hatakuwa na option zaidi ya kusubiri jumapili kanisani kwake..