didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Dec 16, 2024 #1 Kesho saa 5 asubuhi, katibu wa CDM atakua na press kikubwa atachozungumzia ni kutangaza tarehe ya uchaguzi na mambo yanayohusiana na uchaguzi wa ndani ya CDM. Watia nia wote nishapata pdf yake kuanzia BAVICHA taifa hadi chama taifa. Ahsanteni!!!
Kesho saa 5 asubuhi, katibu wa CDM atakua na press kikubwa atachozungumzia ni kutangaza tarehe ya uchaguzi na mambo yanayohusiana na uchaguzi wa ndani ya CDM. Watia nia wote nishapata pdf yake kuanzia BAVICHA taifa hadi chama taifa. Ahsanteni!!!