PRESS ya LEMA iligharamiwa na Abdul

Msituchoshe na uyo abdul serikal ina watu wengi sana wa kufanya izo kaz sasa nyie kila kitu abdul mnasahau kuna vijana na wazee wengi tu wanakata kua karibu na serikal ya ccm so kutoa pesa na kugaramia vitu kama ivyo ni jambo dogo sana kwao
 
Na kwa Nini alirudia mara mbili kusema Heche ana tatizo la kiafya?
Alitaka kuifikisha ujumbe Gani? Au what was the motive behind?
 
Hivi kweli huyu mtoto Abdul ni darasa la nne?
 
Kwa nini watu mnapenda kuleta tuhuma bila hata uthibitisho!!??
Hizi siasa za kuchafuana binafsi (majitaka)ni za CCM, kwa nini siku hizi zinaelekezwa kwa upande wa wapigania haki na utawala wa sheria!!!???
 
Mange aliyasema haya kabla
 
Another fake news

No wonder bu ngumu sana upinzani kuchukua nchi

Hakuna strategies zaidi ya fake news and gossips
 
Na Press ya Mange imegharamiwa na nani?.

safarini Mogadishu - Somalia
Ya Mange anafanyia jikoni kwake, wapi ulisikie Mange kaitisha press conference yake?au na wewe umekuwa poyoyo kama Lema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…