Press ya Simba leo

Press ya Simba leo

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Muda huu kuna press ya kutoka club kubwa kongwe Tanzania, aka mabingwa wa kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika.

Inavyohisiwa ni kusafisha Hali ya hewaa kwani wingu limetandwa na rainbow.

Sisi wanasimba kindaki Ndaki tmetega masikio.

Najua pia mtatutangazia kocha mpya sijui wa viungo na replacement ya yule wa makipa baada ya kumkana.

Screen Shot 2022-11-15 at 15.01.26.png
 
iyo hali ya hewa inategemea kesho namungo anafanyaje
 
Back
Top Bottom