Ukakasi mwingine jeshi halijamkana Captain Tesha,nilitegemea waseme huyu alishafikuzwa na atachukuliwa hatua lakini haikuwa hivyo.Ni majukumu tu hayo mkuu. Ivi wewe ukitumwa na babako kuisemea familia utakataa?
Ngoja tuoneUkakasi mwingine jeshi halijamkana Captain Tesha,nilitegemea waseme huyu alishafikuzwa na atachukuliwa hatua lakini haikuwa hivyo.
Naogopa ya Madagascar,ila Naamini Mungu anaipenda Tanzania
... NONE OF YOUR BUSINESS!Ukakasi mwingine jeshi halijamkana Captain Tesha,nilitegemea waseme huyu alishafikuzwa na atachukuliwa hatua lakini haikuwa hivyo.
Naogopa ya Madagascar,ila Naamini Mungu anaipenda Tanzania