Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Madhara bado yapo makubwa sana, angekuwa hana madhara basi wasingekuwa wanamjibu bado anadeni na sisi atubu kila kitu walichofanya kuongea kwake ndo anasafisha nzuri
 
Hata wewe huna tija. Lakini za polepole Zina tija mno. Right timing
 
Ha
Hayo pia ni mawazo yako mkuu.
 
Maneno mengi lkn upo very general, watamwelewa wenye akili tu, unfortunately nchi yetu Ina wajinga wengi.
 
Mange ndo anawezaga. Anawablackmail halafu anatulizwa na mabillion. Mwaka Jana alianza kukinukisha kuhus mambo flan yamadam akatulizwa na mabillion Sasa hivi hayaengelei.
 
Mange ndo anawezaga. Anawablackmail halafu anatulizwa na mabillion. Mwaka Jana alianza kukinukisha kuhus mambo flan yamadam akatulizwa na mabillion Sasa hivi hayaengelei.

,πŸ˜‚πŸ˜‚
Mange ameona aache kupiga busu Makenge, kaona atumie fursa kujipigia pesa ili amfurahishe imam
 
Tangu aliposema nyuma yake yuko Mzee Warioba na Butiku nikaacha kumsikiliza tena ancachosema. Hata mgombea wao (Mpina) bila shaka angekuwa wa desturi na utamaduni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…