Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #61
Pole Pole kasema league yake ni ya juu sana. Ukiwa na mawazo na fikra za RC Chalamila lazima uone yupo kwenye wrong time..
Tangu aliposema nyuma yake yuko Mzee Warioba na Butiku nikaacha kumsikiliza tena ancachosema. Hata mgombea wao (Mpina) bila shaka angekuwa wa desturi na utamaduni tu.
Ngoma inakoelekea itakuwa ni kati ya Ukristo vs Uislam, polepole tunaelekea huko.Madam tumefika Polepole vs Aziz basi huyo Slow Slow yuko mbele ya muda
RA huwa hatoki hadharani bila kutikiswa akatikisika yaani huwezi kumsikia anamjibu Uchwara yoyote
Umesema wewe. Watu tupo tunasongesha hapa tupate bando tayari kumsikiliza kiloboto!
Tumeshafika huko bwashee baada ya Mchungaji kufungua kesi kuupinga mkutano mkuu wa CCMNgoma inakoelekea itakuwa ni kati ya Ukristo vs Uislam, polepole tunaelekea huko.
Unfortunately, kuhusu suala la Polepole, muda wa mwezi mmoja bado ni mfupi mno kufikia hitimisho la uhakika.Wenye akili huzingatia zaidi matokeo
Je kombara la kifo cha jpm na kombora la wasiojulikana wa samia ...wewe huoni ila madhara yapo ndiyo maana unamuona hule muhuni kwa mara ya kwanza kajitokeza ..ROSTAM AZIZI kumjadili Polepole.
Tumeshafika huko bwashee baada ya Mchungaji kufungua kesi kuupinga mkutano mkuu wa CCM
Valid with in Banana RepublicKwenye siasa au utawala unaweza iitwa jina lolote Mkuu.
Ukishakuwa maarufu shutuma ni jambo la kawaida. Ushahidi ndio kitu pekee ambacho huondoa utata na kuondoa reputation.
Bila ushahidi maneno hayanaga maana yoyote kwa sababu mtu huweza kuzusha au kuzushiwa lolote.
Ndio maana leo kuna wanasiasa waliitwa mafisadi lakini baadaye wanasafishwa.
Lakini pakiwa na ushahidi huwezi kusafisha kitu watu wameona
Swali zuriKwanini mkata network anakata sasa km hazina tija
TusubiriValid with in Banana Republic
Hujui kuwa CCM imeshtakiwa? πNani huyo?
Hujui kuwa CCM imeshtakiwa? π
Lisu hatoki mpaka uchaguzi uisheHatari Sana.
Lisu wanataka kumtoa mwezi huu au watisa mwanzoni.
Wanasema mifumo ya Chadema ime paralaizi. So atakuwa hana nguvu tena
Umemsikia vizuri Polepole amesema atampiga Rostam Azizi kupitia Hilo pigo litaibua na mengine mazito maana yake ni kwamba nyuma ya Rostam Kuna wazito zaidi mkuu Polepole ni kichwa hasa we subiri uone hiyo press yakeUshahidi anao?
Kuhusu Aziz huyo ndio atamtoa mchezoni. Polepole astick kwenye malengo yake hasa kutaka mchakato urudiwe ndani ya ccm.
Lakini kama lengo lake ni kuongeongea sawa anaweza kuendelea
Hiyo hakuitajiki ushahidi kinacho fanyika ni fitina tu na nguvu za fitina..Rostam azizi ni kama mafisadi wote uogopa sana kutajwa tajwa hovyo kumtaja tu kunamfedhehesha na kumpunguza nguvu ndiyo maana mimi namtaja muda woteUshahidi anao?
Kuhusu Aziz huyo ndio atamtoa mchezoni. Polepole astick kwenye malengo yake hasa kutaka mchakato urudiwe ndani ya ccm.
Lakini kama lengo lake ni kuongeongea sawa anaweza kuendelea
Kwahiyo ulitakaje akae kimyaPolepole njaa inamsumbua anayoyapinga awali alikuwa anayasimamia
Hahaha hahaha π€£π,ππ
Mange ameona aache kupiga busu Makenge, kaona atumie fursa kujipigia pesa ili amfurahishe imam