Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Zimekua na maneno maneno mengi sana, ilitakiwa arushe mabomu machache tu kama ya Gwajima
 
Jamaa anaongea huku wale wanazidi kuendelea na michakato
Yao 😄

Ova
Waendelee tu, kwanza sisi makada tumeshanogewa na baiskeli za SSH 2025.

Baiskeli yangu imeshapinda magurudumu nategemea kupewa posho ya SERVICE baada ya uchaguzi.

Kaeni kwa kutulia.
 
Kwangu mimi Polepole ka-win kwa engo alikuwa anatafuta wahuni sio Sir mia, mhuni mmoja ameshatoa shingo nje, tusubiri
 
Zina tija ukitumia akili, ila ukiamua kuwa mjinga utaziona hazina tija.

Hotuba za nyerere alizotoa hayuko madarakani bado zinatija.

Yani unawaamini wana mtandao kuliko ukweli?

Kwangu ukweli ni muhimu kuliko njama za wahusika wa wizi walioko madarakani.
 
Ushahidi upi, tuhuma za wizi na ufisadi zilizowapa ccm ushindi wa 58% mwaka 2010 zilikuwa na ushahidi..?
 
Hiki ndicho alichokuwa anakitafuta HP, kuwachokoza wanamtandao wa kutoka 2005 chini muhuni mkuu wa Jakaya Kikwete...

Ametoka mmoja, RA na kufanya lengo la HP litimie...

Na kuanzia hapo, sasa vita ndiyo tu inaanza. Mfuatilie na msikilize leo...

LAKINI KUMBUKA HILI: Hakuna uchaguzi mwaka huu 2025 na Bi Chura Kiziwi a.k.a Samia Suluhu Hassan hatakuwa Rais tena awamu ijayo iwe kwa jua au mvua. Mstari mwekundu ulishachorwa kitambo...!!
 
Mmh! Hitimisho limekaa kama unajua kinachoendelea chini ya kapeti
 
Niko naombea iwe hivyo kama ulivyosema.
 

Mkuu uchaguzi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…