Mkuu nitoe ushamba hivi microwave unachemshi(kupikia) na maharage!?Huna microwave mkuu?
Mkuu nitoe ushamba hivi microwave unachemshi(kupikia) na maharage!?
Microwave inafanya kazi gani za pressure cooker, hapa nataka ninunue pressure cooker kupunguza gharama za nishati haswa kwenye kupikia maharage na ndugu zake.
Microwave ninayo nikijua naweza epuka gharama za pressure cooker.
Nashukuru mkuuMicrowave ni ya kupashia chakula tu, kuna baadhi zinaweza ku grill lakini kama ww ni mtu wa ku grill nakushauri chukua pressure cooker na airflyer uta save sana
Hio ni ujazo WA Lita ngapi ?Dunia inarahisisha mambo!
Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa.
Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama nafuu sana.
Ni rahisi kutumia na salama zaidi.
Bei ni 95,000Tsh
Call 0788622610
Tupo Aggrey/Ndanda Kariakoo.
View attachment 2706127View attachment 2706128View attachment 2706129