Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana. kwamfano kutokana na Preta kujishebedua sana na mwarabu wake nilijua ndo Kisura wa Jf yeye na Husnyo-kumbe bwana kisura ni Michelle:smiling:. nilikuwa kama story ile ya kipofu na kuku-nadhani wengi mnaikumbuka(kipofu alipobahatika siku moja kuona kwa sekunde alifanikiwa kumuona jogoo-basi akiambiwa hili ni ghorofa, anauliza eti ni kubwa kuliko jogoo)-nilikuwa kipofu kabisa-am enjoying to see your Avatar
ha ha ha ha ha ha haaaaaaa,asante sana Tunalazimika,nafikiri watu mmeenda mbali sana,yeye anachozungumzia ni avatar ndo anachokiona na kama sikosei ya preta ina miguu soft ya mdada na kichupi kwahiyo si sura.........hatujui.sasa hayo mambo ya watu kuzungumzia usifikiri uzuri wa avatar ndo wa mtu sijui yanatokea wapi? kwa kuwa pia inawezekana ikawa kama anavyosema hata nje ya avatar.You made my day Tunalazimika,thanks.