Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa yake hii hapa
Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na maafisa wa Ubalozi huo. Nimefanya mazungumzo na Balozi Mbwana kwa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo mafanikio ya Mkutano wetu.
Pia nimetumia muda wa kukutana kwetu nikamkabidhi vitabu viwili cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi na Kitabu cha Moscow Oparesheni Ukraine. Lakini kubwa zaidi ubalozi wamenipa heshima ya kufanya utalii wa ndani kwa kuzunguka jiji la Pretoria siku nzima na Viunga vyake ikiwemo kutembelea viwanja vya Ikulu ya Afrika Kusini.
Namshukuru Balozi kwa Mapokezi tangu nafika siku ya kwanza Airport Joberg na leo kunisindikiza hadi Airport kurudi home.