Elections 2010 Prezidaa mwenye watendaji "HOVYO"

Elections 2010 Prezidaa mwenye watendaji "HOVYO"

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Posts
4,354
Reaction score
1,010
JK.jpg

Haki ya nani mimi siwezi chagua Prezident mzembe namna hii.
teh tehe tehe...........!!!!!!!!
 
Anapelekwa kama vile gari la toy limetiwa funguo, na yote hii kwa uchu wa madaraka,=. Huwa hatulkii hata mara moja kupima, kutafakari, kuchunguza etc. It's very sickening!!!!!
 
Mi huyo jamaa alishanichosha kitaaamboo hata kusikia habari zake najionea kero tu.
 
Back
Top Bottom