Prezoo amtukana Diamond

Kabla hujafa hujaumbika ndugu zangu.
 
Huwezi kusimama ukapiga kelele about money,wakati umezikuta nyumbani.Maana yake wewe na dada yako wote ni sawa tu,wote walaini kama mlenda.Kwenye hiphop,ukisikia real Gs wakiongea kuhusu money,wako na maana yao,wame-hustle kutoka gheto life mpaka pale walipofikia.Sasa Prezzo ataongea nini!Kwanza watu wengi wanaopenda beef kila mara kama huyu Prezzo infact ni mashoga,wako na complex vichwani mwao,kwa hiyo wanataka jamii iwachukulie wao ni vidume.Ujumbe kwa Prezzo,najua unasoma humu,kama unaweza kamata soko la muziki,acha kugombana na wadogo zako.
 
Kumbe hiyo habar imeandikwa kwenye gazet ndo imemfanya prezzo kupanic ivi, prezzo inabid ajue magazet ya tanzania yanafanya BIASHARA YA HABARI, afu huyo prezzo sijui kama ni star mnavyosema apa afrika, labda ni staa Tanzania, afu kwenye kumi bora ya wasanii wenye pesa afrika sijui kama yupo, DIAMOND pesa kazitafuta kwa jasho lake, PREZZO kazipa za urithi binafsi naona DIAMOND ndo yupo juu , sababu pesa alizonazo ni jasho lake na kipaj chake ndo kimefanya awe juuuuu, kwanza kishoo PREZZO wakawaida sana ukilinganisha na DIAMOND,
 
Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana
 
Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana

What dju mean by stop hating n work your ass out?
 
Prezzoo ana hela ndefu amezaliwa na kukulia kwenye helaa,tofauti na domo aliyeanza kushika chapaa ukubwani pia prezzo ni class wakati domo ni mbagala levo,trust m class haiji kwa kupata visenti ukubwani

class ndo kitu gani we mdada?
 
Prezzo acha hizo Mkuu, Diamond ni mdogo wako so unatakiwa umchukulie poa even if alikosea.
 
Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana

Pesa pesa, iwe ya unga, iwe ya urithi, iwe ya kuhustle zote zikikutana kwenye kuspend hazitofautishwi. Muhimu ni kuwa nazo tu whether shortcut ilitumika au long cut
 
Prezo atakuwa na tabia za ushoga kwa hicho alichokifanya
 
Prezzoo ana hela ndefu amezaliwa na kukulia kwenye helaa,tofauti na domo aliyeanza kushika chapaa ukubwani pia prezzo ni class wakati domo ni mbagala levo,trust m class haiji kwa kupata visenti ukubwani
Mwanaume hasifiwi kwa hela za kuzikuta, anasifiwa kwa hela alizotafuta mwenyewe! Kwamba Prezzo mkwanja amekua nao inathibitisha kwamba kwamba Platinumz ni kidume coz' jamaa katokea from the scratch na bado katoboa! Na ukiondoa ukweli kwamba Prezzo kaingia kwenye game siku nyingi wakati Diamond just three years ago, basi hapo Diamond anakuwa juu zaidi labda useme kwamba mchiz amedumu kwa game for so long wakati no guarantee kama Diamond nae anaweza ku-survive muda mrefu kama Prezzo!
 
Prezzo acha hizo Mkuu, Diamond ni mdogo wako so unatakiwa umchukulie poa even if alikosea.
Mkuu Shardcole,
Diamond hajakosea popote sema Prezzo ni mpenda biffu na ndio maana wenzake wanamchana kwamba hata muziki wenyewe hajui! In short alichofanya Diamond ilikuwa biashara, tambo za kibiashara siku pale ambapo wangekuwa jukwaani kwenye tamasha la Shigongo! So, ilikuwa ni namna tu ya kutia chachu show, namshangaa jamaa kama-mind!
 
Last edited by a moderator:
hapana domo la diamond lipo tofauti na prezoo, la prezoo limekaa poa kwa denda la diamond kupulizia uji wa mtoto huo ndo ukweli.

Hahahaha hatimaye nimecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…