Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Habari ya Mjini

Pamoja na matusi yote aliyotukana Chagga Barbie amabaye ni demu wa Prezzo sasa waamua kurudiana. Baada ya matusi ya kila aina aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake, Starlisha Tillya aka ‘Mdoli wa Kichaga' (Chagga Barbie).Prezzo aliandika: President" is like a drug (highly addictive) he's the best up until the drugs runs out, withdrawal symptoms can be seen from miles."

Kauli hiyo ilikuwa na ukweli kwa asilimia 100, kwakuwa ni kweli Starlisha ameshindwa kumsahau rapper huyo anayejiita Mfalme Mswati na hivyo kuamua kurejea tena kwenye himaya yake. Mtanzania huyo anayeishi nchini Marekani, jana alipost picha ya Prezzo kwenye Instagram na kudai kuwa ameamua kumsamehe Prezzo na kwamba hakuna mahusiano rahisi duniani. "Let De Movie Continue #MapenziniUpofu #HakunaNgechuBilaChaggabarbie #MunguAnajuaKwanini #SihitajiyeyoteZaidiYake #NawaombaMtuombee #HakunaMahusianoRahisiDuni ani Nimeamini Ukimpenda mtu hata itokee nini Huwezi kuukimbia Moyo.

Nawatakia Jumapili Yenye Amani, Furaha, Upendo, Kusamehe na Mumtangulize Mungu Jamani Ndio Kila Kitu. Kwa Neema Yake Kanipaujasiri wakuwaeleza haya Leo," aliandika kwenye picha hiyo.

Bado Prezzo hajasema lolote.
 
Alichosema ni sahihi hakuna mahusiano rahisi...kila mahusiano yana changamoto yake..

Ila duh kwanini walidhalilishana vile...?
 
Huyu chaga what what naye ni celeb? Au anatafuta kick kwa jina la Prezoo?

Mfyuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
ameamua kurudi kwa mwenye Kibamia tena!!!!!!!!!!!!!!!

Mayb kimerefuka duuuu.yani ndo mana unaambiwa hata watu wagombane vpii katka maswala ya mapenz mtu akikuomba ushauri we kua neutral ukianza mpondea mpz wake utaja umbuka mana afta two days ucshangae kuwaona na mapenz teleee
 
Mayb kimerefuka duuuu.yani ndo mana unaambiwa hata watu wagombane vpii katka maswala ya mapenz mtu akikuomba ushauri we kua neutral ukianza mpondea mpz wake utaja umbuka mana afta two days ucshangae kuwaona na mapenz teleee

hahaa walitupa faida tu sie watazamaji wa movie yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…