Prezzo akutana na mashemeji zake kutoka tanzania tayari kwa maandalizi ya ndoa soma hapa

Prezzo akutana na mashemeji zake kutoka tanzania tayari kwa maandalizi ya ndoa soma hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
1387667811113.jpg


1387667709277.jpg


1387667738208.jpg


Mwanamziki kutoka kenya anayefanya vizurianayejulikana kama Jackson Makini kwa jina maarafu kama Prezzo hivi karibu ametinga Tanzania na kukutana na mashemeji zake kwa ajili ya kuandaa ndoa yao,pichani hapo juu ni masheji
zake.Licha ya hivyo msemaji wa familia amethibisha hayo kwa kusema

"According to our source,a family member,"Prez is not joking about this,this lady completely won his heart and Kenya in fact East Africa should be ready for talk of town wedding,can't disclose full details but take my word this wedding will turn necks and break hearts"
 
Aoe na atulie na ndoa maana dudu yake ingekuwa sabun ingekuwa ilishaisha siku nyingi sana
 
Mchafu sana huyu!!! Itapendeza nikimwita ka**ba wa kiume. Dada zetu amkeni.
 
hahaha hii sredi na kinachoendelea instagram vimenifanya mbavu zangu ziume lol!
 
Back
Top Bottom