Prezzo Amuiga Diamond...Aaibika Mwenyewe

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Kweli kabisa kuna mambo Kama ni wasanii wanaigana katika njia yakujipatia umaarufu especially Kama kila unapojaribu kufanya haya-turn out mazuri ni bora kuachana nayo kabisa,hapa tunaongelea hili la u-playboy au kwa maana nyingine ni kule kujaribu ku-date na ma-star wenzao ili tu kutafuta headlines kwenye magazeti ya sehemu mbalimbali sometimes kweli si ishu.
Hivi karibuni kwa kipindi cha muda mfupi tumeona jinsi msanii huyu PREZZO akiendelea kupata lawama na message mbalimbali kwenye mitandao yakijamii kutoka kwa wapenzi wake pale tu wanapoachana,hii imekuwa inamtengenezea sura mbaya kWa mashabiki wake na hata kupoteza baadhi ya mashabiki kWa vitendo hivi.

Kusema kweli Kama alikuwa anamuiga Diamond platnumz kutokana na story zake za ku-date na stars mbalimbali,habari zinazopewa headlines hadi kwenye magazeti ya nchi nyingine nje ya Bongo na hata akiachana na demu wake hauwezi kuona wanatukanana kwenye social media. Diamond anaonekana ni mtu anayemuheshimu mwanamke na katika interview zake amekua akizungumzia swala hilo na hata celebrities aliyowahi kutoka nao wamesema hivyo pia , hiki ndicho kitu ambacho prezzo amekosa.

Basi inabidi kujipanga upya,cause so far kila manzi anaye date naye imeonekana kum-diss msanii huyu tena hadharani wanapoachana,wakiwemo Hudda Monroe kutoka Kenya na m-tz mmoja maarufu Kama chaggaBarbie aishie huko marekani.
Katika harakati hizi za kujipatia umaarufu zaidi hasa kupitia hobbie nyingine ambazo ni haramu Kama hizi ni vizuri Kama mtu atakuwa mpole na kuandokana na hizi hali za kukurupuka ku-date na kila msanii maarafu ilimradi tu nae ajione kama beyonce na jay-z.
CREDIT:VIBE
 
Kusema kuwa diamond hajawah kumkashfu demu wake nakataa, alishawah Mara kumtukana wema kuwa ni Malaya sana na hajui kupika, juzi kati tu katoka kumrekod wema alivyompigia simu au huo sio udhalilishaji??
 
Nyie sikilizeni prezzo sio kua anamfata diamond unajua prezzo anadate na wavuta bangi, wanawake wa prezzo hawana mbele wala nyuma anadate na waswahili tu. Huyo chaggabarbie hana ustar wowote hapa mjini ustar wake niwa social netwrk tu hamna chochote
 
Sio mnyama Ni mdudu anaitwa Mbulumundu

Mzee,mbulumundu limenikumbusha mbali sana,...pia lazima watu wajue kuwa president ameanza kugegeda wanyange mastaa kabla hata diamond hajajua make-up,,,alikw uswazi hukoo
 
Kumbe ukiwa play boi means unamuiga Diamond?au uki-date celebs bac unamuiga yy c'mooooon acheni hizi mambo hatujui the prezdent kaanza ukicheche lini kumbuka kawa star zamani jamani.
 
Wote madomo. Wacha waigane

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hivi chaggablah blah naye ni star?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…