bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Rapper toka Kenya Jackson Makini aka CMB Prezzo wiki ijayo atakutana tena kwa mara ya pili na Jay Z mkali wa Magna Carta Holy Grail kutoka Brooklyn Marekani ng'ambo ukiwa Manhattan city center ya New York. Wakali hawa watakutana katka program ya UN katka ukumbi maarufu uliopo Los Angeles California uitwao Staples Center ambao hutumiwa pia kwa mechi za Ligi kuu ya NBA na ni uwanja wa nyumbani wa LA Lakerz. Jay Z ambae ni balozi wa Umoja wa Mataifa atakutana na Prezo ambaye ni balozi kutoka Afrika aliyeteuliwa kutoka Big Brother Africa mwaka jana. Wakali hawa waliwah kukutana mara ya kwanza jijini New York na kupga pcha pamoja katka programu ya Umoja wa Mataifa. Prezzo pia jana amekana kumfaham msanii wa Tanzania Diamond Platnumz na kusema kuwa "THE ONLY DIAMONDS I KNOW IZ THAT ON MY NECK". Hyo ni baada ya Prezzo kumpoteza na kumfunika kabisa diamond jukwaani katka tamasha la matumaini tar 7 july lililofanyika uwanja wa taifa Dsm.