Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki
Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa jahazi na mfalme wa taarab kwa ujumla
Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa jahazi na mfalme wa taarab kwa ujumla