Yusomwasha JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 2,092 Reaction score 839 Aug 28, 2016 #1 Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa jahazi na mfalme wa taarab kwa ujumla
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa amigo mwimbaji wa jahazi modern taarab ndiye mfalme mpya anayemrithi mzee yusuff baada ya mzee kuacha mziki Anasubiri tu kutawadhwa rasmi kuwa mfalme wa jahazi na mfalme wa taarab kwa ujumla
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Aug 28, 2016 #2 Du ila kijana anaweza.ana masham sham yake jukwaani