Doubts zipi mzee?This has removed all the doubts. Now media are going to eat him alive!
Prince Andrew alikuwa ana deny kuhusu rape na kuna watu kiasi fulani nilimwamwini. Walikuwa wana suspect maybe Virginia was after money and fame!Doubts zipi mzee?
Amshukuru mama yake amempa hizo pesa afute hio aibu kwa familia ya kifalme.
Nina hisi huu ni ujanja na Virginia hayupo mwenyewe. Lazima kuna wengine watajitokeza sasa na itakuwa rahisi kwa sababu ameshakiri kosa.Doubts zipi mzee?
Amshukuru mama yake amempa hizo pesa afute hio aibu kwa familia ya kifalme.
Na kwa kuwa hiyo si fedha ya walipa kodi basi imetoka mfukoni kwa mama yake.
Pia, bibi asingependa kuona mwanae aenda jela na pengine wasionane tena.
Soma tena hiyo story Prince Andrew ametoa hizo pesa lakini hajakiri kosa.Nina hisi huu ni ujanja na Virginia hayupo mwenyewe. Lazima kuna wengine watajitokeza sasa na itakuwa rahisi kwa sababu ameshakiri kosa.
Lakini pia nina hisi wamelipa faini halafu wamwondoe au yeye mwenyewe ajiondoe kama rafiki yake Epstein kuwafichia aibu wengine.
Hii group ni kubwa
How inakuwa mbinu kuzuia madai mengine au mimi ndio sielewiSoma tena hiyo story Prince Andrew ametoa hizo pesa lakini hajakiri kosa.
Hiyo ni mbinu ya kisheria kuzuia madai mengine mapya.
Hajakiri kosa (kujishirikisha na mtu ambae alikuwa akiwadhalilisha kingono wasichana wadogo pamoja na Geuffre)How inakuwa mbinu kuzuia madai mengine au mimi ndio sielewi
Mbona ni kama amekubali kosa hata kama hajatamka au kukiri kosa
Let's wait n see
Iko haja kuingia mikataba ya one night stand ya kisheria. Kuonesha consent ya mwanamke.