NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana, tumsifu Yesu kristo, Mwanakondoo ameshinda , Asalaam aleykum....
Sina maneno mengi ila Prince Dube kuanza kufumania nyavu Leo katika mechi ambayo watoto wa jangwani watapata ushindi wa kuanzia mabao manne na kuendelea.
Sasa tuache ubishi wa kizalamo , kiruguru au kiha subirini dakika tisini halafu mje kuchangia uzi huu.
Nawatakia siku njema yenye baraka tele!