Prince Harry atupiwa virago vyake..............kisa umalaya.....

Prince Harry atupiwa virago vyake..............kisa umalaya.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Tungelitegemea Prince Harry afuate nyayo za kaka yake lakini mpenziwe kamtupia virago vyake baada ya kuchoshwa na umalaya wake lol.....soma makala hii kwa wajuao kingereza prince Harry dumped
 
Nafasi yake ya kuwa Prince...ndogo sana acha ale maisha asijibane bane aishi kujilinda wakati yeye mtu wa kujiachia!!muacheni life style yake ameischagua kwanza sisi haituhusu sanaa....tupa kule achana nae
 
bado ana test yupi anamfaa. kwa wakati wake ni sahihi tuuu.
 
bado ana test yupi anamfaa. Kwa wakati wake ni sahihi tuuu.

akiendekeza testin ya aina hiyo tatamani kumtest bibiake aombe mungu amsaidie aachane na hilo pepo la imalaya so yeye ni spirit inamsumbua inataka kumkatiza maisha yake angekuwa makete njombe ama bkb kashenye weee tunasema mengine sasa rip prince,hivi kwa speed hii
 
Back
Top Bottom