Tungelitegemea Prince Harry afuate nyayo za kaka yake lakini mpenziwe kamtupia virago vyake baada ya kuchoshwa na umalaya wake lol.....soma makala hii kwa wajuao kingereza prince Harry dumped
Nafasi yake ya kuwa Prince...ndogo sana acha ale maisha asijibane bane aishi kujilinda wakati yeye mtu wa kujiachia!!muacheni life style yake ameischagua kwanza sisi haituhusu sanaa....tupa kule achana nae
akiendekeza testin ya aina hiyo tatamani kumtest bibiake aombe mungu amsaidie aachane na hilo pepo la imalaya so yeye ni spirit inamsumbua inataka kumkatiza maisha yake angekuwa makete njombe ama bkb kashenye weee tunasema mengine sasa rip prince,hivi kwa speed hii