Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mna royal armed forces wote hapo, mvaa makobazi wa Somalia anatwanga kama wendawazimuKambini sasa kule nanyuki, Yeye ndio colonel ndani ya kitengo cha Irish guards, royal armed forces!View attachment 883731View attachment 883734
Huu ushikaji wake wa kalamu ni tofauti na maelekezo ya walimu.Alifanya mazungumzo ya kina pale ikulu na mzee uhuru![emoji106] [emoji3] View attachment 883724
Huu ushikaji wake wa kalamu ni tofauti na maelekezo ya walimuAlifanya mazungumzo ya kina pale ikulu na mzee uhuru![emoji106] [emoji3] View attachment 883724
Huku kwetu wanasemaga watu wanoandikia refuti ni firimasoni
Vipi kuhusu wale vijana wa mapanga congo..ilikuwaje yani hadi jwtz wakafyekwaKumbe mna royal armed forces wote hapo, mvaa makobazi wa Somalia anatwanga kama wendawazimu