Prince William atinga kambini!

HahahHahahahahahahaha,sasa huu upuuz wajeshi la watu england kufanya hii nchi ya kenya shamba la nyani la mazoez litaisha lin??
Young mind they train with KDF and we get revenue and free weapons from them...nanyuki town has developed because of this guys
 
Young mind they train with KDF and we get revenue and free weapons from them...nanyuki town has developed because of this guys
I was told that you kenyans are good when it comes to English
Sadly it was a lie
 
Jamaa limeenda hadi jeshini!!..aaah leo ndo nimeamini kwamba Kenya inamilikiwa na wenyewe..
Endelea kuamini..vp kuhusu mjerumani..bado kawatelekeza hadi wa leo..na wakati nchi yenu ina raslimali karibia kila kona...oooo!!anaogopa
1.kuwa mvivu km nyie
2.hataki kuwa kilaza km nyie..
3.wa tz hawaminiki..mda wowote wakija kunaweza tokea propaganda ya kwamba viungo vya mjerumani dili..kisa ngozi yao na albino hazijaachana mbali...
4.mwisho kabisa...ywahofia maisha yake..kisa atarogwa
 
Dah, Nanyuki napakumbuka sana na hivi vikosi vya BATUK pia, 1academ, wasalimie washkaji wangu pale Joskaki, Nanyuki ni mji wa raha bana, panaitwa mwisho wa reli.
 
"Because of this guys" instead of because of these guys
Ref your comment
Hyo guys inasimama kumaanisha many individuals au a group of individuals? Rudi tena nenda kasome lugha wewe, usikariri kila inayoushia na ~s imemaanisha wingi
 
Vipi kuhusu wale vijana wa mapanga congo..ilikuwaje yani hadi jwtz wakafyekwa
Sasa utafananisha JWTZ na hao mbwiga haipiti wiki hawajapokea kichapo toka kwa msomali?

Kwa JWTZ ilitokea mara moja na haitakaa itokee ndani ya miaka 10 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…