Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mzee Baba unalala na kula kwa mvaa kikuku?
dharau kivipi?HVI ASAD UNAMFANANISHA NA TIFFA HIZI SI DHARAU HZI
FUATILIA VZURI AFU UTAJUAdharau kivipi?
Kwa hiyo?Net worth ya baba yake Asad inakadiriwa kuwa ni USD 35M, Kwa hela ya bongo ni zaidi ya bilioni 70.
Kamlinganisha kwa idadi ya followers haina uhusiana na pesa za wazazi waoNet worth ya baba yake Asad inakadiriwa kuwa ni USD 35M, Kwa hela ya bongo ni zaidi ya bilioni 70.
Mwambie huyo maana ninaona anakurupuka tuKamlinganisha kwa idadi ya followers haina uhusiana na pesa za wazazi wao
Namaanisha acha uboya. We ni wa kike?Una maanisha nini?
Acha upuuzi wewe, hela ndio kila kituMwambie huyo maana ninaona anakurupuka tu
Acha upuuzi wewe, hela ndio kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23] duu.Usiseme Dunia nzima ilhali insta unafollowers 40,labda E.AView attachment 907403
Umefunga kazi baba harudi tenaUsiseme Dunia nzima ilhali insta unafollowers 40,labda E.AView attachment 907403
Hahahaha Kuna Watu wanafikiri instagram wanaijua wao tuUmefunga kazi baba harudi tena