maphia
New Member
- Sep 6, 2017
- 1
- 0
Habari za Leo wana Jamii, Natumaini waote ni wazima wa afya Leo ni maada (wazo) fupi la kuchangia kuhusiana na kichwa cha habari hapo.
Principal Licence ilitangazwa miaka mili iliyopita ikiwa nalipiwa 22,500,000 (Tshs) kwa mwaka na leseni zinginezo zikiwa zinalipwa kwa eneo kila mwaka.Tuna Muomba Mh. John Pombe Magufuli atuondolee Leseni inayoitwa PRINCIPAL LICENCE ON SLOT MASHINE tubaki na leseni zingine tunazolipa kila mwaka ambazo zinajulikana kama sites licence kutegemeana na biashara unazofanya kwa sababu zifuatazo,
1. Tunalipa principle Licence 22,500,000 (Dollar Elfu kumi)
2. Tunalipa Leseni za mwaka kulingana na biashara kama ni slot shop, kasino, root operations, sport bettings, na kadhalika.
3. Tuna gaming tax tunalipa kwa mwezi (hiyo ni sawa kabisa tuikunali kulipa ushuru kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu)
4. Tuna gaming Lavy tunalipa kwa mwezi (ambayo ni sawa kabisa)
5. Registration ya mashine kila mwaka nayo imekuwa ni tatizo kwa sababu miaka yote minne iliyopita tulikuwa tuna register mashine kila zinavyo ingia nchini na kila mashine kupatiwa namba, inakuwaje kwa mashine ile ile kuwa registered kila mwaka Mheshimiwa?
6. Unavyofungua site mpya na kuitambulisha kwa gaming board unakadiriwa malipo ya kuja kumlipa inspector ilikuja kukagua eneo, Je ushuru tunaolipa hautoshi kuja kumlipa Inspector?
Kumekuwa na kodi nyingi ambazo zimekuwa zikitulemea na kusababisha makampuni kufungwa.
Ninahakika tukipunguziwa vikwazo kwa mimi binafsi ninaweza kuingizia serikali pato la zaidi ya millioni tano kwa mwezi, hivyo basi tunamuomba Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli Kutuondolea Principle Licence ambayo imekuwa kikwazo kwa makampuni mengi. Nashukuru mweshimiwa kwa Kuwa Naamini kuwa utalifuatilia hili. Naomba maoni yenu pia wana Jamii wenzangu katika hili