Printed ID Holders: Wanauzaje jumla na Ku-Print

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,569


Salaam Familia

Napenda kuuliza hizi ID Holders zinapatikana bei gani kwa jumla.

Wana Print kwa bei gani kwa jumla wanao Print.

Wauzaji wa rejareja wanuzaje.

Maswali
  • Wananunuaje Kwa jumla
  • Wana Print beigani jumla
  • Wanauzaje wauzaji wa rejareja
NB: UDSM ID Mfano tu hapo Suala Printed ID.
 
Kwenye printing unatakiwa kutoa idadi ngapi unahitaji ili uweze kupewa Bei ya jumla, mfano anayeprint 10pcs ni tofauti na anayeprint 100 mkuu
 
Kwenye printing unatakiwa kutoa idadi ngapi unahihaji ili uweze kupewa Bei ya jumla, mfano anayeprint 10pcs ni tofauti na anayeprint 100 mkuu
Mfano 50 au 100
 
I’d inategemea na quality ila hizo complete inaanza buku tano yaani ID na printing ambayo rejareja inakuwa buku saba minimum inategemea na idadi zipo za buku 10 nafikiri mpaka 15 nenda delfina au kama unatenda wape tu wahusika wanaojua mambo ya printing
 
Duu mimi nimeulizia Holders jamani wanapouza tu bei yake, pili nimeulizi kuPrint kamba za hizo Holders sio ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…