Printer inahitajika

Hujasema aina, specification...printer za black and white zipo nyingi, unataka laser printer, inkjet... au ya aina gan ndo tujue kama hyo bei itafaa
 
laser jet ingekuwa nzuri zaidi
 
laser jet ingekuwa nzuri zaidi

Haya post tangazo lako upya in detail kule kwenye matangazo madogo madogo, wadau wa hizo mambo wanakuwepo kule sana kuliko huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…