Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
Asante kwa taarifa. Ukipata LaserJet nishtue, hiyo hakika nitanunuaHabari
Printer ainaya inkjet canon iP2700 bei sh. 150,000 na ina print colour na black. 0758308193
150,000
150,000
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kutoka 150k mpaka 50k!!!!Ofa maalumu printer imeshuka bei. Unaichukua kwa elfu hamsini tu. Wahi haraka. Mwisho wekend hii
Kwa kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] kutoka 150k mpaka 50k!!!!
Kabisa black and white in printing industry ni non colour [emoji1] [emoji1]Inaprint colour na black. Kumbe black sio colour.
Uko wapi mkuuOfa maalumu printer imeshuka bei. Unaichukua kwa elfu hamsini tu. Wahi haraka. Mwisho wekend hii