NewGapi JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 313 Reaction score 960 Mar 14, 2022 #1 Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam. Dukani mpya ina range 2.4m Sababu ya kuuza ni order ilikuwa tofauti na ilivyohitajika. Hivyo ni ipo na mabox na kila kitu chake na wino wa kuanzia. (Canon haziji na wino) Karibu kuona muda wowote, ipo Habour View towers. Mawasiliano zaidi nipigie 0746 869 698
Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam. Dukani mpya ina range 2.4m Sababu ya kuuza ni order ilikuwa tofauti na ilivyohitajika. Hivyo ni ipo na mabox na kila kitu chake na wino wa kuanzia. (Canon haziji na wino) Karibu kuona muda wowote, ipo Habour View towers. Mawasiliano zaidi nipigie 0746 869 698
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Mar 14, 2022 #2 bei kubwa sana boss
NewGapi JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 313 Reaction score 960 Mar 15, 2022 Thread starter #3 Wewe upo na ngapi boss?