Spot_Revista
Member
- Dec 12, 2013
- 10
- 2
ulitakiwa uweke bei ili tufanye comparison za bei
wao wamesema wanaprint kwa low cost walitakiwa kuweka bei zao kama wameweza kutoa tangazo kwanini wanashindwa kuweka bei hakuna kitu aghali wala rahisi uaghali wa kitu au urahisi wake unapatikana baada ya kulinganisha bei ya vitu vinavyofanana mfano mi naweza kusema nauza vitenge vya wax toka kongo kwa shilingi elfu 5 akatokea mwingine akasema anauza vitenge aina hiyohiyo na kutokea huko huko kwa shilingi elfu 8 hapo ndio itaonekana mimi bei yangu ni nafuu lakini anaweza akatokea mwingine akasema anauza vitenge wax toka Tanzania kwa bei ya shilingi elfu 3 hapi sitaangalia unafuu bali nitaangalia na uboraIngawa ni wazo zuri lakini sikubaliani nalo kwani biashara hizi ni za ushindani, sasa wakianika kila kitu inaweza ikala kwao.
Kama upo interested ni bora ukawaandikia au unaenda kwao mkae chini muongee kibiashara, hapa wanajitangaza tu.
wao wamesema wanaprint kwa low cost walitakiwa kuweka bei zao kama wameweza kutoa tangazo kwanini wanashindwa kuweka bei hakuna kitu aghali wala rahisi uaghali wa kitu au urahisi wake unapatikana baada ya kulinganisha bei ya vitu vinavyofanana mfano mi naweza kusema nauza vitenge vya wax toka kongo kwa shilingi elfu 5 akatokea mwingine akasema anauza vitenge aina hiyohiyo na kutokea huko huko kwa shilingi elfu 8 hapo ndio itaonekana mimi bei yangu ni nafuu lakini anaweza akatokea mwingine akasema anauza vitenge wax toka Tanzania kwa bei ya shilingi elfu 3 hapi sitaangalia unafuu bali nitaangalia na ubora
Kwenye printing "Low cost" haimaanishi ni bei ndogo. Kuna factors nyingi za kufanya cost iwe low na si lazima iwe bei.
Ungeonana nao badala ya kubishana humu ndani. Kama unataka kubishana ungeenda ukabishana ofisini kwao, hapa kama unampigia mbuzi gita.