Printing issue

hujaeleweka wewe mtu kwani wee ndo unafanya hayo mambo au
 
tuambie unachotaka kusema wengine tunatafuta printing firm ambayo inaeleqweka sa cjui we unataka kutueleza nn hapa.

we ndo uwezo? au ni mteja wa uwezo? hebu jitangaze bac kwa maneno yako mwenyewe achana na hii web yenu kwanza. am sereouse ukiweza tuongee
 
Ok sisi tuna print kila aina ya material kwa size zote 0718888656 0752507004
tshet, kofia, mabango, stikers, sahan, vikombe nk
tupo bugurun shel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…