J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 44 Oct 6, 2012 #1 Habari wakuu, Wapi naweza kupata high quality service ya kuprint stika? Bei ikoje kwa stika moja? Stika ni kwa ajili ya kubandika kwenye madumu ya mafuta ya kula.
Habari wakuu, Wapi naweza kupata high quality service ya kuprint stika? Bei ikoje kwa stika moja? Stika ni kwa ajili ya kubandika kwenye madumu ya mafuta ya kula.
jumbenylon Senior Member Joined Jun 12, 2011 Posts 115 Reaction score 10 Jul 1, 2013 #2 nichek kwenye 0714021078
B Buhaya boy Member Joined Jun 16, 2013 Posts 88 Reaction score 16 Jul 1, 2013 #3 ebana nenda MKUDE GRAPHICS wapo mwenge bei ya ctka 1=400 bei inapungua kutokana na wingi wa mzigo nichek 0717539573 kwa msaada zaid au stanslausd@yahoo.com..ni hayo tuu mdau..
ebana nenda MKUDE GRAPHICS wapo mwenge bei ya ctka 1=400 bei inapungua kutokana na wingi wa mzigo nichek 0717539573 kwa msaada zaid au stanslausd@yahoo.com..ni hayo tuu mdau..