Pre GE2025 Priscus Tarimo akabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa (ambulance) la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Jul 27, 2024
Posts
26
Reaction score
12
PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA MBUNGE WETU ANAFAA HATUMUACHI IMETIKI NJE NDANI

Mapema leo mbunge wetu PRISCUS TARIMO BINGWAA amekabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa ambulance la pili katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mpaka sasa ameomba magari tano hapa Moshi Mjini na amekabidhi tayari.

Sisi Moshi Mjini ni mashuhuda wa ile tuzo ya Goalkeeper aliyopewa Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan juzi kwa mafanikio makubwa sana katika sekta ya Afya.

Yamefanyika mengi sana kule KCMC, Mawenzi Hospitali, Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya, Zahanat na bado kazi inaendelea.

Asante sana Mama, Asante sana Mh.Rais MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

CCM HOOYEEEEE

MBUNGE HOYEEEE

Umoja ni ushindi

Kazi iendelee!

BY ✍🏾Mwandishi Bora
1739016381433.jpg
 
Haya magari ya wagonjwa huwa yanafanya kazi gani? Ukipoiga simu unamgonjwa Nyumbani hayaji sijui huwa yanakazi gani kwa wananchi?
Utoe mafuta...kutokea hospital kwenda Rufaa...sio kuja home....wewe pambana mgonjwa afike hospital
 
BY ✍🏾Mwandishi BoraView attachment 3229561
Kuna gari la mbunge lilikamatwa likisafirisha binaadam raia wa Ethiopia, bado tunakumbuka
 
Kwa hiyo hapo Samia ameingiaje..... Acha UJINGA kenge wee.... Huyo piriskusi aliibiwa kura na jiwe magu sasa tutaona kama samia muislamu bora ataiba. TAKATAKA CCM.
 
Haya magari ya wagonjwa huwa yanafanya kazi gani? Ukipoiga simu unamgonjwa Nyumbani hayaji sijui huwa yanakazi gani kwa wananchi?
Sio kupiga simu tu ukiwa nyumbani hayaji bali hata ukiwa mochwari ndani ya hospital hupati,,

Mimi nimekaa mochwari siku mbili kisa usafiri ndipo ndugu wakaamua kunirudisha home Kwa bajaji.
 
Hata akitambika kuweza kurudi tena bungeni haiwezekani. Aenze kuaga sasa.
WanaCCM wenzake hawamtaki kabisa, wananchi hawataki hata kumsikia.
 
Sio kupiga simu tu ukiwa nyumbani hayaji bali hata ukiwa mochwari ndani ya hospital hupati,,

Mimi nimekaa mochwari siku mbili kisa usafiri ndipo ndugu wakaamua kunirudisha home Kwa bajaji.
Hahaha safi sana nchi hii kila siku wanayanunua lakini sijawahi kuelewa huwa yanatumika wapi na lini na kufanya nini, ingawa wanayaita ni magari ya wagonjwa ila sijui ni wagonjwa wa wapi?
 
Utoe mafuta...kutokea hospital kwenda Rufaa...sio kuja home....wewe pambana mgonjwa afike hospital
Sasa Ambulance gani ina oparate hivyo, au ni kelele za kuombea kura tu. Gari ya wagonjwa haibebi wagonjwa. Hata aho wa rufaa haibebi.
 
Back
Top Bottom