Pre GE2025 Priscus Tarimo: Mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi Mjini

Pre GE2025 Priscus Tarimo: Mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Jul 27, 2024
Posts
26
Reaction score
12
Huu ni muda wa mrejesho na marejesho kwa kazi walizotutuma wananchi wa Moshi mjini Kazi iendelee

Siku ya Jumatano tumepokea gari ya pili ya zimamoto kutoka kwa Mji dada wa Marburg, Ujerumani na tunategemea gari jingine la tatu mapema mwaka huu.

Tunawashukuru sana wadau wetu Marburg. Haya ni matokeo na matunda ya hoja binafsi aliyotoa mbunge wa moshi mjini Mh.Priscus Tarimo @⁨Priscus Tarimo B⁩ ya kushawishi halmashauri ziweze kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na uokoaji katika kuwahudumia Wananchi.

Tuna kupongeza sana mbunge wetu Mh.Priscus Tarimo kwa maendeleo unayozidi kuyapigania na kufanya Moshi imeremete kila SEKTA.... Asante mbunge hatuna deni na wewe ila sisi tuna deni kwako la kukupa kura za ushindi wa kishindo ndani ya CCM na nje kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu October 2025 TUNATAMBA NAWE HATUKUACHII✅✅✅✅

HAUNA DENI NA WANA MOSHI 2025 PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA TULIA KWENYE KITI CHAKO CHA UBUNGE MITANO TENA GUSA ACHIA TWENDE KWAOOOO IMETIKI NJE NDANI

BY ✍🏾MWANDISHI BORA
IMG-20250130-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom