NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Episode ya mwisho kutoka ilikuwa episode 16 season 4, 17 itatoka aprili niliambiwa kny thread nyingine hapa na itakuwa ya mwisho unfortunately. 24 na the unit pia ni nzuri kama hujawahi kuziona.
Latest Episode ya Prison Break itatoka lini au kama mtu anayo atumwagie hapa jamvini kwa sababu huku Tz latest version ni Episode 9 wakati zinakotoka wanadai ni Episode 4 nahisi hapa kuna wizi mtupu tunaibiwa na wasambazaji hasa huyu Alibaba tunaomba taarifa wenzetu
Prison Break itatoka mwezi ujao tarehe 17 na FORTUNATELY ndio season ya mwisho. 24 imechukua turn nzuri baada ya two disappointing episodes.
BTW thanksNgomaNzito,
Unaweza kupata hizo mambo hapa Home - Share the fun!!! Free movie Torrents Download
The Unit nzuri, kama mtu unapata NTV ya Kenya, wameshaanza kuionesha. Hawa jamaa wako market oriented/ commercial ukilinganisha na station zetu of the same calibre wanaobaki kutuonesha tired Brazilian and Philipino soaps with poor story lines