Prison Break vs Breaking Bad

Breaking Bad ni habari nyingine,pia mtoa maada upon sahii kuhusu season one,kila jukwaa la movie's, wachambuzi,washasema season one wengi hawaipendi na wengi waliacha kuangia mwanzoni but kuanzia season 2 ni Noma sana...Walter white and Jesse pinkman ..prison break sio level moja na breaking bad
 
Bro wu tang napata wapi??nimeona juu tu episodes za mwanzo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa akajidonetia milion za kutoshaa kwenye Fund rising programme...
 
Nadhani Series ya Breaking bad kama kuna watu walikuwa wanafatilia episode kwa episode walipata tabu sanaa... Yani tabu mnooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana kila mwisho wa episode unabaki na maswali 100 kidogoo.. whats next kitu ambacho series chache zinacho ikiwemo na Prison break.
 
MJINGA MMOJA WA HUMU ALINIAMBIA

GAME OF THRONE.
SIIPENDI KABISA.
ALINIBOA SANA
 
Breaking Bad Ni Bonge La SERIES Kuwahi Kutokea Sikuwahi Kujilaumu Kupoteza Muda Kuiangalia
 
Jesse Pinkman..na DEA agent mwenye makeke Hank Schrider..walinikosha sana kwenye Breaking Bad.
Ahahaha DEA yule shem wake Walter alitaka kumfundisha dogo mtt wa Walter kuhusu effects za drugs akaitiwa malaya aeleze alianza vp kutumia madawa ile malaya kasepa DEA agent anamuuliza dogo "so, what do you think'' dogo akamjibu "Cool'' Jamaa likabaki likaona hamna kazi apa[emoji16][emoji16]
 
Series za HBO ya mwanzo mwanzo huwezi fananisha na hizi za siku hizi.. my first tv show to fall in love with was prison break but nikaja kugundua kuna vitu vikali sana hata kabla ya prison break na baada pia...

Cheki the wire... sopranos.. OZ.. six feet under
 
Wafuatilie vizuri sana Jesse na Mzee Walter...
 
Gangs of London, huniambii kitu pia Game of thrones nzuri
 
Nafikiri Breaking Bad hujawahi kuiona wewe, sikatai Prison Break ni kali lak Breaking Bad ni mwisho pale, Japo season 1 unaweza usiielewe..
Kabisa. Kuna yule Babu Mike,na Saul(Mzee wa You Better call Saul.

Achana na Gustavo the Gustavo himself.
 
Ok sawa sawa nimekupata Mkuu. Inaonekana ina umafia mwingi
Angalia huo mzigo..mimi niliufuta sana.
Siku nikajikaza kuangalia S01 .....
Kama umeangalia matukio ya Movie NO BODY..
Kaa itazame hii...huku kuna wa Mexico wana roho pana mno.
 
OZ kali sana, The Wire niliishia Season 2 ngoja nianze upya niiangali mpaka mwisho..dogo Marlow aliwahangaisha wakongwe hawakuamini.. The Sopranoz ndio naangalia sasa hivi season 1, hii ninayo complete nimeichukua majuzi hapa...Six Feet Under ngoja niitafute..mizigo ya zamani mitamu sana
 
Kuna jamaa anaitwa Ramin Djawadi (Muiran na Mjerumani) ni music composer na Record Producer, mnyama sana. Huyo ndio composer wa theme ya Prison Break na pia theme ya Game of Thrones (GOT).

Ukisikia theme tu unakuwa makini, yaani akili inakukaa sawa, ubunifu wa hatari.🔥🔥 Yaani kama vile theme ya News Hour ya Al Jazeera.

"This is Al-Jazeera..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…