Prison Break vs Breaking Bad

Angalia moja ya kituruki inaitwa "Eskiya Dunyaya Hukumdar Olmaz(EDHO)" yaani "Bandits will never rule the World", utakuja kunishukuru...
Hiyo ndo criminal series kali kwangu kuliko hizo zako amini.
Pia utaongezea na "Sons of Anarchy"
hao waTuruki wamekazania kuutukana uKristo na kuutukuza uislam hakuna jipya
 
Aisee naiomba niicheki kama Bado unayo

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Power unaileta kwenye mziki wa Breaking bad huko si kutaka ngoma ya watoto ikeshe.
 
Zote za moto wakuu itakuwa kila mtu na choice yake
Ila Mimi Breaking bad is the best nimechukia kwanini imeisha baada ya hapo nikaangalia El camino ambayo ni breaking bad movie
 
Kwangu mm
1.The American...hii tunaishi nao wengi sn. .makazini nakwenye vyama tofauti
2.Prison break..
3.breaking bad
4.homeland etc
 
We jamaa mbona huleti feedback sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…