Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
script writer, mtafute jina lake
Duuuh Ashadili umenikumbusha 'vichwa' vingine bana..yani kwa hakika ile kitu prison break imesheheni. hivi unakumbuka Mahone alivyokuwa anatafsiri matukio ya kiharifu? na unachek ile dedication jamaa anayoionyesha kwenye kazi yake? kama maafisa upelelezi wote wange kuwa na akili kama jamaa aisee bongo ingekuwa ni noumaaa..ofcoz kuacha tendence yake ya kujidunga madawa....as you put it aisee hawa jamaa ni geniuses kuanzia jambazi T-Bag mpaka Scofield mwenyewe....big thanks kwa ma director na ma producer na scriptwriters...Asante kwa uzi wako N Kyono… uko pouwa but naomba niende nawewe tofauti kidogo….
Kwa upande wangu unapotaja watu wenye akili katika prison break nitamfikiria moja kwa moja Tancredi (I love the name) maana mimi kama mdada wa kawaida nikianza kufikiria ni jinsi gani ningeweza unganisha zile messages za Scofield sidhani kama ningeweza kabisa!
Wa pili namfikiria the general… Jiulize swali, jamaa alikua ana futa nyayo zake hadi Yule mama raisi alistaafu kawa ajili yake, ukizingatia kua ndo mwanzilishi wa vitimbi vyoote na the fact kua Lincoln alitiwa ndani kwa ajili yake but jamaa tumekuja muona season ngapi??? Hio ni akili bana… ule uwezo wa kua untouchable… na kukanyaga mchanga bila kuacha nyayo…
Watatu ni Lincoln mwenyewe… jamaa kakulia maisha ya taabu na kuhakikisha dogo ana maisha magumu bila dogo mwenyewe kumsoma kua the broda is in trouble kwa ajili yake till too late! I love a man who puts family first no matter what he has done!
Wanne kuna kitu kinaitwa haywire…. Jamaa was the first person kum note scofield kua zile si tu tattoo… ni beyond tattoo…. Tukimuacha huyu katika kundi la wenye akili hatujamtendea haki kabisa… wapo wengi kwa kweli… kuna dogo LJ…. Dogo Yule angekua **** angekua maiti alipotambulishwa tu!
this is to mention but a few…
Nikiangalia upande wa Scofield and Mahone… Dah! Can go on for ever… my Prison break heroes.. hawa hawana akili they are GENIUSES, kuwaweka kwenye kundi la watu wenye akili ni kuwa underestimate MNO!!!!
Whereas T-bag… ha ha ha… that is just another f***n level… un-comprehendible kabisa…
Duuuh Ashadili umenikumbusha 'vichwa' vingine bana..yani kwa hakika ile kitu prison break imesheheni. hivi unakumbuka Mahone alivyokuwa anatafsiri matukio ya kiharifu? na unachek ile dedication jamaa anayoionyesha kwenye kazi yake? kama maafisa upelelezi wote wange kuwa na akili kama jamaa aisee bongo ingekuwa ni noumaaa..ofcoz kuacha tendence yake ya kujidunga madawa....as you put it aisee hawa jamaa ni geniuses kuanzia jambazi T-Bag mpaka Scofield mwenyewe....big thanks kwa ma director na ma producer na scriptwriters...
Hapa bongo utakuta scriptwriter-Kanumba
Director-Kanumba
Actor-Kanumba
Costume designer-Kanumba
Lighting-Kanumba
Location Manager-Kanumba
..........................-Kanumba
---------------------Kanumba
ahhahhaaaaaaaa-Kanumba
Asante kwa uzi wako N Kyono uko pouwa but naomba niende nawewe tofauti kidogo .
Kwa upande wangu unapotaja watu wenye akili katika prison break nitamfikiria moja kwa moja Tancredi (I love the name) maana mimi kama mdada wa kawaida nikianza kufikiria ni jinsi gani ningeweza unganisha zile messages za Scofield sidhani kama ningeweza kabisa!
Wa pili namfikiria the general Jiulize swali, jamaa alikua ana futa nyayo zake hadi Yule mama raisi alistaafu kawa ajili yake, ukizingatia kua ndo mwanzilishi wa vitimbi vyoote na the fact kua Lincoln alitiwa ndani kwa ajili yake but jamaa tumekuja muona season ngapi??? Hio ni akili bana ule uwezo wa kua untouchable na kukanyaga mchanga bila kuacha nyayo
Watatu ni Lincoln mwenyewe jamaa kakulia maisha ya taabu na kuhakikisha dogo ana maisha magumu bila dogo mwenyewe kumsoma kua the broda is in trouble kwa ajili yake till too late! I love a man who puts family first no matter what he has done!
Wanne kuna kitu kinaitwa haywire . Jamaa was the first person kum note scofield kua zile si tu tattoo ni beyond tattoo . Tukimuacha huyu katika kundi la wenye akili hatujamtendea haki kabisa wapo wengi kwa kweli kuna dogo LJ . Dogo Yule angekua **** angekua maiti alipotambulishwa tu!
this is to mention but a few
Nikiangalia upande wa Scofield and Mahone Dah! Can go on for ever my Prison break heroes.. hawa hawana akili they are GENIUSES, kuwaweka kwenye kundi la watu wenye akili ni kuwa underestimate MNO!!!!
Whereas T-bag ha ha ha that is just another f***n level un-comprehendible kabisa
Kuna vichwa vingine kama Kapten Bellick (kutoka kwenye uafisa wa jeshi mpaka ufungwa, ukiwa juu ucwazarau walioko chini), kuna Paul Kellerman, bila kumsahau Wyatt aka Balantanda.
Namic ile michakato ya kukimbizana kwenye S02 ampayo ndio the peak season for my views huku Mahone akionyesha uwezo wa hali ya juu kwenye kusoma Fisher aka Scofield.
Kuna kichwa Gletchen (natamani nikipata mtoto wa kike nimpe hili jina).
Bellick: There two rules to follow....
Michael: What is the second one?
Bellick: Stick to the first one.
Liked Bellick's smile. Liked Sara's seriousness. Liked T-Bag's Bravery. Haven't answered the thread qn tho. Sorry.
Labda sijaelewa, mnawazungumzia characters au actors? Kama ni characters nitakuwa pamoja na
nyinyi lakini kama ni actors basi sifa zote zimuendee muongozaji wala si wao. Nilipita tu...
ha ha ha ha... Kweli nimeridhika kukumbushwa hapo.....
Bellick one of the most Vulgar.. he defines the word..
And 3D need you back ujibu the Qn....lol
Wis tukizungumzia characters kwanza tutaona uvivu na kuondoka hapa....lol
fanya tunazungumzia actors katik the specific series...
I skipped the question b'se I never watched all seasons. I walked away with Sara, though she came back! I am poor at watching movies/series in terms of the story itself. I am normally attracted to the details. I have bought some DVDs months ago but haven't finished watching them, I just went for the behind the scene features and maybe a quick view of the movies. It takes me some time to finish watching a single movie due to lots of pauses I put to focus on details. Really sad.
Hapo mtakuwa mmeniacha kabisa, kwa kuwa actors ni migizaji binafsi anayeigiza kwenye mchezo/filamu
na mara nyingi kucheza kwake vizuri ni lazima awe ametengenezwa vizuri na director kwa mujibu wa
script nzuri iliyotokana na story nzuri.
Unapozungumzia characters unamaanisha mhusika kwenye mchezo/filamu hiyo, na hapo unaweza
ku-difine kama ana akili, maarifa or whatever kama mnavyochangia. Hoja yangu hapa unapowazungumzia
actors ni lazima umsifie director kwa kui-transform script from the written one into the real image. Ndo
maana mimi huwa nikimuona muigizaji kachemsha kwenye movie yoyote, huwa sikimbilii kumlaumu
yeye, bali huwa inanionyesha kuwa hicho ndo kipimo/uwezo wa director wa movie husika.
sijui kama nimeeleweka?
WISDOM WEEDS Alolusha this thread swali lake hili hapa
je ktk prison break ni kina nani unadhani wana akili sana?
Ina maana katika hao wahusika, yaani tuongelee the content without talking about
who was responsible or how the played there part in neccessiating those qualities in the
characters... Mimi nawe na walo interested acknowledge the fact kua asilimia more than 90%
huwajua actors na nafasi zao na kuwadadafua ile ile BUT do not give a damn about alowezesha..
Directors, Producers, Investors, Movie/Film related careers kama designers from makeup,
set, props are never acknowledge but in the first place without them there is no us knowing the Xters..
Kuhusu kueleweka nashukuru kua umeeleweka na nimekubali LKN bado nataka
ujibu swali la post...lol.. (If you don't mind...) labda kama hukuipenda na you did not watch!
I watched it. It's about an engineer, Michael Scofield (Wentworth Miller) installs himself in a prison in order to
help his brother, Lincoln Burrows(Dominic Purcell).
Kwa kiasi fulani mimi hupenda kumfagilia mtu anayeinogesha zaidi filamu hasa kwa kutoa challenges (antagonist)
kwa main character wetu (protagonist) ambazo mara nyingi zinawafanya watazamaji wengi kumchukia.
Mfano namkubali sana Theodore 'T-Bag' Bagwell (Robert Knepper) na Paul Kellerman (Paul Adelstein)[TABLE="class: cast_list"]
[TR="class: even"]
[TD="class: primary_photo"][/TD]
[TD="class: name"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cast_list"]
[TR="class: even"]
[TD="class: name"][/TD]
[TD="class: ellipsis"][/TD]
[TD="class: character"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nilikupata wapi you stand before hujaeleza just wanted to be sure... now i am.
Your posts in entertainment says in all... Your are more the form fan than the content.