Prison FC ili mgharimu Mwamnyeto na Metacha, leo imemgharimu Manura, golikipa wao anakitu anafaa kuja Yanga

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Hii timu ilisababisha Mwamnyeto aanze kusugua benchi pia ikasababisha metacha ale umeme (red card) na sidhani kama atakaa golini tena.

Leo sidhani kama manula ataendelea kuwa hapo simba.

Golikipa wao anajiamini ikiwapendeza viongozi wa YANGA tuleteeni huyu kipa atatufaa sana maana kuna vitu anafanya unaona kabisa ni kipaji sio juhudi.
 
Kuna watu wanatakiwa kukubali tu Prisons ya msimu huu ni ya moto sana. Na haiogopi kucheza na timu yoyote ile. Hata kwenye mechi dhidi ya Yanga, walionesha upinzani mkali.

Mechi na Azam pia mambo yalikuwa ni yale yale.
 
Hii timu ilisababisha Mwamnyeto aanze kusugua benchi pia ikasababisha metacha ale umeme (red card) na sidhani kama atakaa golini tena.

Leo sidhani kama manula ataendelea kuwa hapo simba.

Golikipa wao anajiamini ikiwapendeza viongozi wa YANGA tuleteeni huyu kipa atatufaa sana maana kuna vitu anafanya unaona kabisa ni kipaji sio juhudi.
sio manura ni manula
 
Tukichukuwa na point 3 nyingine Kwa Simba Kwa nini tusiseme Yanga bingwa?
 
Back
Top Bottom