OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
wao lawama anapewa manulaKuna watu wanatakiwa kukubali tu Prisons ya msimu huu ni ya moto sana. Na haiogopi kucheza na timu yoyote ile. Hata kwenye mechi dhidi ya Yanga, walionesha upinzani mkali.
Mechi na Azam pia mambo yalikuwa ni yale yale.
sio manura ni manulaHii timu ilisababisha Mwamnyeto aanze kusugua benchi pia ikasababisha metacha ale umeme (red card) na sidhani kama atakaa golini tena.
Leo sidhani kama manula ataendelea kuwa hapo simba.
Golikipa wao anajiamini ikiwapendeza viongozi wa YANGA tuleteeni huyu kipa atatufaa sana maana kuna vitu anafanya unaona kabisa ni kipaji sio juhudi.
round ya pili bado hawajacheza na azam, costal, namungo, kmc na yanga.Tukichukuwa na point 3 nyingine Kwa Simba Kwa nini tusiseme Yanga bingwa?
Wana Simba sio kama hawapendi Dube aondoke Azam, wanatamani hata leo aondoke ila inshu ni kwamba akiondoka Azam anaenda wapi 🤔..!!!round ya pili bado hawajacheza na azam, costal, namungo, kmc na yanga.